ISSA HAYATOU APEWA UONGOZI NA FIFA

Kiongozi wa shirikisho la soka kutoka barani Afrika Issa hayatou wa cameroon, amepewa jukumu la kusimamia shirikisho la soka Duniani kwa mda

Hayatou kwa sasa atachukua usukani wa Sepp Blatter, hii ni baada ya kamati ya maadili ya FIFA kumsimamisha raisi Blatter kwa muda wa siku 90.

Raisi huyo ambaye alianza kulitumikia shirikisho la soka Barani Afrika tangia mwaka 1988, akiwa ni makamu raisi katika kamati tendaji aliyekaa kwa muda mrefu.

Hayatou pia ametangaza kuwa atasimamia usukani huu ila hatowania urahisi wa shirikisho la mpira Duniani FIFA litakalo fanyika mwezi wa pili tarehe 26- 2016.



0 comments:

Post a Comment