Kitufe cha dislike hakitakuwepo badala yake kutakuwa na emoji ambazo zitakuwa zinaelezea hisia ya mtu juu ya post iliyotumwa.
Facebook cheaf product officer, Chris Cox alielezea kitufe cha dislike hakitakuwepo badala yake mtu anapotaka kuonesha hisia itabidi ashikilie kwa mda kitufe cha kulike na hapo anaweza elezea hisia zake kuhusu hiyo post.
Huduma hiyo itaanza kwanza nchi za Ireland and Spain siku ya alhamisi kwa watumiaji wote wa IOS na Android.
Kwa nchi zingine bado hawajasibitisha itaanza lini hiyo huduma ili watumiaji kuweza kueleza hisia zao kwenye mtandao huo wa Kijamii
0 comments:
Post a Comment