UNAMPANGO KUJENGA NYUMBA KAMA HIZI?

Katika dunia ya sasa kila mtu anajaribu kuwa tofauti na mwenzake, kuanzia mavazi, chakula na mahala pa kuishi.

Jamaa hawa wanakuonesha aina za nyumba zao walizojenga ambazo wanaonekana tofauti na watu wengine duniani.

TRANSPARENT HOUSE, JAPAN

Hii ni kali kutokea huko Japan, wametengeneza nyumba ambayo ni transparent, kwamba inaruhusu mwanga mwingi lakini?? kuna vitu lazima usubiri kidogo giza liingie



SKATEBOARD HOUSE, USA.


Kwa wale wanaopenda viatu vya matairi, nyumba hii ni mpango mzima kwani nyumba nzima unaweza endesha viatu vyako bila wasi



WORLD'S SLIMEST HOUSE:POLAND


Unaambiwa hii ndiyo nyumba nyembamba kuliko zote duniani, upana wake ni 92-152 widith cm, Mpango mzima kama unahitaji kiwanja Mbezi au Masaki unaomba unakijenga katikati ya nyumba mbili maisha yanaendelea.



WORLD'S SMALLEST 1SQ METER HOUSE:GERMANY



Hii ndiyo nyumba fupi kulizo zote duniani na zinapatikana huko Germany, Nyumba moja unaweza kuifanya ikawa kitanda,sebule na anaishi mtu mmoja tu ndani ya nyumba hiyo.

SLIDE HOUSE: JAPA

Hiyo ndiyo nyumba ambayo watu humo ndani mnakuwa mnateleza tu, ukitaka kwenda sebuleni unateleza kutoka chumbani hadi sebuleni, imekaaje hiyo.


CHURCH CONVERTED INTO MODERN HOUSE FAMILY:HOLLAND



Nyumba hii mala ya kwanza ilikuwa kanisa na kubadilishwa kuwa makazi ya watu, yani familia inaishi humu,.

0 comments:

Post a Comment