Jay z na Timberland wamekuwa kwenye matatizo ya kesi kuhusu familia ya Baligh Hamdi Mtunzi wa Misri aliyetengeza sample ya mwanzo kwenye ngoma ya Jay z inayoitwa "Big pimpin" familia hiyo imefungua mashtaka kuhusu sample hiyo
Baada ya siku ya kwanza ya kesi Jay z aliulizwa anafanya nini(kazi)gani kwa ajili ya maisha yake, ndipo Jay alianza kuorodhesha vitu anavyofanya.
"i make music, i am a rapper, i've got a clothing line, i run a label, a media label called rock nation, with a sports agency, music publishing and management, Restaurants and nightclub, ithink that about covers it" Alisema Jay z.
Wakili wake Andrew Bart alimuliza kama bado anaendelea kumiliki mtandao wake wa music wa Tidal
Jay z alijibu " Yeah Yeah, Forget about that" kwa kuashilia kwamba alisahau kutaja pia mtandao wake huo wa Music ambao wasanii wanaweka miziki yao online.
0 comments:
Post a Comment