APPLE MUSIC YAZIDI KUWA NA WATUMIAJI WENGI

Kampuni ya Apple Music imefikisha watumiaji milioni 6.5 ambao pia wanalipia huduma hiyo, amesema, Tim cook mwenyekiti wa mtendaji huyo.

Huku watumiaji wengine Mil8.5 wakiwa wapo kwenye majaribio ya mtandao huo kwa miezi 3


0 comments:

Post a Comment