MSANII KUTOKA JAMAICA AMETUMIA PICHA YA KAMPENI YA CCM, KAMA MOJAWAPO YA SHUKRANI KWA KUONESHA SUPPORT KWENYE SHOW YAKE

Gramps Morghan, mmoja wa waimbaji wa kundi la mziki wa regge, Morghan Trumps linalo fanya vizuri duniani, aliposti picha ambayo watu wamevalia mavazi ya kijani na njano na huku akiandika katika kurasa yake kwa kuwashukuru wa Kenya kuhudhuria kwa wingi show yao hiyo


Tatizo linakuja ni baada ya kwamba, picha aliyopost Gramps kuwa ndiyo mashabiki waliouzuria show yao ya Oct 3 katika uwanja KICC, sio picha yenyewe, hii picha ilikuwa ni ya mashabiki wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) walioudhuria kampeni ya Mgombea uraisi John Pombe Magufuli, mkoani Mwanza wiki iliyopita.



Picha halisi ya Kampeni ya CCM iliyofanyika huko Mkoani Mwanza.

Mashabiki wa Morgan kutoka Kenya waliweza tambua kuwa picha iliyotumwa na mwanamuziki huyo sio ya kwenye show iliyofanyika bali ni ya kampeni zinazoendelea nchini Tanzania.

That is CCM’s Presidential campaign in Mwanza City Tanzania On Saturday 17th October, 2015 from 01:00 pm to 07:00 pm.

Who is stupid it was political campaign don’t cheat the world pls apilogiese us

moja ya maoni ambayo watu waliandika katika kurasa za Morgan.



1 comment: