THINK LIKE A MAN KUJA KATIKA MFUMO WA SERIES

Filamu ya Think like Man ambayo ilipata mauzo makubwa na kuwa na watazamaji wengi, comedy hiyo inaletwa katika luninga yako ikiwa kwenye mfumo wa series, mtandao wa deadline.com umethibitisha kuwa filamu hiyo itakuwa ikirushwa katika luninga ya Fox

Comedy hiyo inatarajiwa kuwa na waigizaji walewale, huku ikiongozwa na Mchekeshaji maarufu ambaye vitabu vyake vilitumika kutengeneza Filamu hiyo, Steve Harvey.

Kitabu hicho cha Think like A Man kilichotayarishwa na Harvey, kiliuza copy nzima duniani kote, pia movie hiyo ilingiza Dolla millioni 91.5 kupitia bajeti yao ya dolla millioni 12.

Luninga ya Fox ambayo ndio inatarajiwa kuonesha series hiyo ya Think Like A Man, imetokana baada ya kufanikiwa kwa filamu yao ya EMPIRE.

0 comments:

Post a Comment