SEPP BLATTER AKATA RUFAA

Blatter was handed a provisional 90-day suspension by FIFA's ethics committee on Thursday but will appeal

Raisi wa shilikisho la soka Duniani Sepp Blatter amekata rufaa baada ya kamati ya maadili kumsimamisha kufanya kazi kwa mda wa siku 90.

Sepp blatter alisimamishwa kazi siku ya alhamisi yeye pamoja na katibu wake Jerome Valcke na makamu wa Rais Michel Platin.

Wote watatu hao wanakana maswala hayo yakuwa wametumia pesa hizo vibaya.

0 comments:

Post a Comment