NANI ATAKUWA MSHINDI? BONGO STAR SEARCH FAINALI 2015

Leo ndiyo siku ambayo mashabiki wengi wa BSS 2015 walikuwa wakiongojea siku hii kwa hamu sana, sasa leo ndio fainali ya mashindano haya, ambapo yatafanyika katika ukumbi wa King solomon hall maeneo ya Namanga karibia na Eater's point.

Milango itaanza kuwa wazi kuanzia saa moja kamili usiku, huku. Vilevile show itakuwa Live kupitia luninga ya Star Tv na Clouds Tv mida ya saa 3:00 kamili usiku.

Kutakuwa na shoo za kutosha na Kampuni ya simu ya Huawei itakuwa hapo kutambulisha simu yake mpya ya Huawei P8 lite.

0 comments:

Post a Comment