SABABU ILIYOMFANYA TECNO AMKATAE MASOGANGE KUWA HANA MAHUSIANO NAYE NI HII HAPA

Mrembo Agness Masogange ameendelea na stori yake kuhusu yeye na Msanii wa muziki kutoka Nigeria, Tecno Miles, hii baada ya msanii huyo Tecno kukanusha kuwa hana mahusiano ya kimapenzi na mwanadada Masogange.

maso

Agness aliweka wazi sababu ambayo inamfanya Tecno kukanusha kuwa hana mahusiano ya kimapenzi na Agnes ni kuhusiana na kuona wivu baada ya Agnes kuwa na ukaribu na msanii mwingine kutoka Nigeia Davido.
Agnes na Davido

Hiyo ni picha ambayo aliposti Masogange akiwa na msanii Davido wakila bata na kuiandikia picha hiyo caption ya
"Kumbe brother alipaniki kitambo kisa OBO Baddest" alisema Agnes na baada ya mda aliitoa picha hiyo.

0 comments:

Post a Comment