Watu wengi wamewasiliana na mke wa mchezaji huyo, Khole Kardashian kwenye mitandao ya kijamii wakitaka kutoa msaada wa kumsaidia mchezaji huyo.
Huku pia mmiliki wa dangulo ambalo Lamar alikutwa akiwa amezima amesema anaitaji pesa ambayo Lamar ametumia katika dangulo hilo ambalo imefikia gharama ya dola $80,000 na anaitaji pesa hiyo ilipwe na mke wa mchezaji huyo.
"If idont get paid for the entire bill, i'll sue Khole, i know she has the money" alisema mmiliki wa Danguro hhilo.
0 comments:
Post a Comment