LIONEL MESSI KUONDOLEWA KATIKA ORODHA YA FORBES YA WACHEZAJI

Mshambuliaji wa Barcelona, Lionel Messi ameondolewa kwenye orodha ya wachezaji ambao wanamikwanja mirefu katika jarida la Forbes.

Mwaka jana mwa jarida hilo linaloorodhesha majina ya watu ambao wanaingiza mkwanja mrefu, messi alikuwa nafasi ya 9 kwa wanamichezo ambao wanaingiza pesa, huku mshindani wake kutoka Real Madrid, Christian Ronaldo akiwa nafasi ya 7 na mwaka huu ameshuka naye pia na kuchukua nafasi ya 8.
Hii ni orodha ya wachezaji wanaoingiza pesa ndefu kwa mwaka huu 2015.

1:Tiger woods-$30Milioni
2:Phil mickelson-$28Milioni
3:Lebron James-$27Milioni
4:Roger Feder-$27Milioni
5:Ms Dhoni-$21Milioni
6:Usain Bolt-$18Milioni
7:Kelvin Durant-$18Milioni
8:Christian Ronaldo-$16Milioni
9:Rory Mcllory-$12Milioni
10:Floyd Maywether Jr-$11Milioni.

0 comments:

Post a Comment