RAPPER K.O ATAJWA KUWA NDIYE BEST MC WA MWAKA 2014 NCHINI AFRIKA KUSINI

Rapper K.O ametajwa kuwa ndiyo best MC wa mwaka 2014 huko nchini South Africa, kwa mujibu wa orodha ya MTV BASE SA's HOTTEST MC's 2014
K.O ambaye alifanya ngoma na Vanessa Mdee ya "Nobody but me"

Vigezo ambavyo vilitumika kutoa washindi ilikuwa ni Lyrics, Sales, Style, Impact, Buzz.

Huku panel ya Majaji ilikuwa ikiongozwa na VJ wa MTV BASE, Swize Dholmo na wadau wengine kutoka katika vituo vya radio na tv pamoja na wasanii pia.

Hii ndio list ya walioshinda 

1:K.O

2:CASSPER NYOVEST

3:AKA

4:KHULI CHANA

5:RICKY RICK

6:REASON

7:KID X

8:DA LES

9:KWESTA

10:MAGGZ.

0 comments:

Post a Comment