BARNABA AMEKUJA NA LABEL YAKE YA "HIGH TABLE"

Mwanamuziki na mtunzi wa nyimbo bongo, Barnaba ameanzisha lebel yake inayoitwa "High Table" ambayo itakuwa inasimamia wasanii wa muziki, ambapo pia tiyari ameshaanza na wasanii wa 4

Aliiambia EA TV kupitia kipindi cha E-news, kuwa wasanii ambao amewasainisha ni Ice boy, Sia, Asia na Mula Fleva.

"Nimemchukua Ice boy yule aliyekuwa kwa youngkilla ambaye ana rap, pia watu washangaa kwanii barnaba sahivi ameamukuchukua mtu wa kurap, pia nina msanii wa kike anaye rap anaitwa sia,nina msanii wangu anayewakilisha pande za njombe anaitwa Mula Fleva na nimemchukua na Asia yule anayeimba pia.

0 comments:

Post a Comment