UNAAMBIWA NCHINI CHINA WATU WAMEKAA FOLENI KWENYE MAGALI KWA SIKU TANO

Hii imetokea China, Foleni ya Magari ambayo imechukua watu kukaa takribani siku 5 wakiwa katika foleni, yaani shukuru tu ukiona foleni inatumia lisaa moja lakini sio kwa hii



Foleni hii imesababishwa na watu ambao walikuwa wanatoka katika mji wa Beijing, kusherehekea siku ya Golden week holiday, ambayo husherehekewa Kitaifa nchini humo.

Inakuwaje ulikuwa unawahi ofisini, kuna mgonjwa nyumbani au baada ya kutafuta kazi kwa mda mrefu, ofisi moja ikakujibu kuwa kesho uje kwenye interview alafu unakutana na foleni kama hiyo


Huko nchini sio kwamba ndio mara ya kwanza kutokea kwa foleni hiyo, 2010 kulikuwa na foleni ambayo iliwafanya watu kukaa barabarani zaidi ya siku 10 tena gali likiwa linaenda mwendo wa Konokono


0 comments:

Post a Comment