Huo ndio muonekano mpya wa Album ya Justin beaber ya purpose ambayo itaachiwa November 13, Cover hiyo imetengenezwa na artist maarufu kwa aitwaye Retna.
Ndani ya Album hiyo kutakuwa na ngoma kali ambazo beaber amefanya na wakali wa Hiphop kama Kanye West.
Justin kwa sasa ana miaka 21 na Mwenye mafanikio makubwa katika tasnia hii ya mziki miondoko ya Pop, Beaber bado anaendelea kufanya vizuri na ngoma yake ya "What do you mean" ambayo bado ipo katika nafasi za juu za Billboard.
0 comments:
Post a Comment