JE UNAMFAHAMU ALIYE TENGENEZA ALBUM COVER YA PURPOSE?

Retna ndiye aliye fanya madikomadiko kwenye album cover ya Justin beaber "Purpose" ambayo inatarajiwa kutoka November 13 itakyo kuwa imebeba ngoma kemkem ikiwemo ya "what do youmean".

Marquis Lewis(Retna) alizaliwa mnamo mwaka 1979, katika jiji la Los Angels. Lewis alianza kazi zake kama street grafity artist mwaka 1990's.

Grafiti zake anazotumia zinatokana na michoro ya kihistoria ya Misri, Kiarabu na wa Hebrew.



hizo ni grafit ambazo zimetengenzwa na Retna.

Marquis alishafanya kazi na makampuni makubwa kama ya Nike, Louis Volton inayodili na maswala ya fashion na mwisho ni kampuni ya Ndege ya Vistajet.


kampuni ya Vistajet ikiwa na grafit za retna.

Marquis jina lake ambalo analitumia la Retna alilitoa katika Kundi la Wu tang clanlyrics


0 comments:

Post a Comment