Baada ya Producer mkongwe kutoka Marekani, Swizzbeatz kuonyesha video akiwa na mwanae wanacheza miziki ya Diamond platnumz, producer huyo pia hakuwa nyuma kumpongeza Diamond platnumz kwa tuzo aliyoipata kutoka MTV EMA 2015 "Best Worldwide Act Afrika/India.
Mwanamuziki Neyo naye hakuwa nyuma na kuandika katika kurasa yake ya instagram
“CONGRATS TO HOMIE @diamondplatnumz for winning #BestWorlWideAct at the #MTVEMAs Keep being great! Let’s go get tm’ my guy!!”
Aka alimpongeza Diamond platnumz kwa kuandika
What a Champ! @diamondplatnumz congrats bro! #MTVEMA BEST WORLD WIDE!
Yemi alade pia aliandika
CONGRATULATIONS BRO ! !!!! #MTVEMA BEST WORLD WIDE ACT AFRICA
Rapper Navio pia alimpongeza Diamond kwa kusema hivi
Hailing from East Africa…MTV Europe’s Best Worldwide Act- @diamondplatnumz. CONGRATS BRO! Apart from one other artist, I’ve never had more support from an EA artist than him. And hes not even Ugandan! While other big artists in the industry bicker, surplant and pull down their brothers, he always shows us as EA artists support and realness. He deserves it! Look at what supporting each other and Unity can do!
0 comments:
Post a Comment