KUMPELEKA MSANII STUDIO SIO KWAMBA NDIO UNAMSAIDIA KIMUZIKI: IZZO BIZINESS

Msanii wa miondoko ya Bongo fleva Izzo Bizness zalisema kuwa kumsaidia msanii chipukizi sio lazima umpeleke studio, ni kutenga mda na kuwapa ushauri jinsi gani ya kuingia kwenye tasnia hii ya muziki.
Akiongea na East Africa Radio, Izzo alijitolea mfano yeye mwenye , Alisema

“Mimi mara nyingi sijafikia uwezo wa kuwachukua watu kuwasaidia kuwapeleka studio, kuwalipia video na nini, lakini kwa mtu ambaye naona ana nia na malengo kwasababu hata mimi nilifight, walikuwepo kina Sugu kina nani ambao walikuwepo juu yangu, wakina adili, kikubwa ambacho nilikua nachukua kwao ni mawazo na kuangalia ambacho walikua wanafanya”


Kingine kikubwa zaidi alizungumza ukitaka kuwa msanii bora zaidi ni "nidhamu".

0 comments:

Post a Comment