MATOKEO YA AWALI YA UCHAGUZI MKUU 2015, MTWARAN NA KUSINI UNGUJA




Matokeo ya awali ya uchaguzi mkuu wa Tanzania 2015 ya Kwanza yametangazwa na mwenyekiti wa tume ya taifa ya uchaguzi, jaji Damian Lubuva saa nne na robo asubuhi ya October 26 2015

MATOKEO YA AWALI: MAKUNDUCHI KUSINI UNGUJA;

ACT =22
ADC=58
CCM8=8406
CHADEMA=1769
CHAUMA 68
NRA=23
TLP=18

MATOKEO YA AWALI: MTWARA LULINDI;

ACT=528
ADC=362
CCM=31603
CHADEMA=11543
CHAUMA=179
NRA=43

MATOKEO YA AWALI:PAJE-KUSINI UNGUJA.

ACT=36
ADC=21
CCM=6035
CHADEMA=1899
CHAUMA=28
NRA=8
TLP=8

0 comments:

Post a Comment