SAYI SHAY: TANZANIA INA WASANII BORA AFRIKA

Mwanamuziki kutoka Nigeria, Seyi Shay anaye fanya vizuri kwenye tasnia ya muziki na wimbo wake wa "Right Now".

Staa alisikika katika katika radio ya Clouds Fm kwenye kipondi cha Ala za roho, Sei Shay amesema anatamani kufanya collabo na wa Tanzania, kwasababu anaamini kuna wasanii bora sana Tanzania ambao ni bora zaidi Afrika.

Anaamini kolabo yake na msanii wa Tanzania itasikika Afrika nzima.

Pia alizungumzia kuhusiana na Mzigo mpya wa Album iliyopewa jina la " Sai or Shay" ambayo itaachiwa November 13 mwaka huu.


4 comments: