MCHEZAJI SIMBA ANASWA NA HIRIZI MCHEZONI

Mshambuliaji wa club ya simba sports club Pape N'daw ametoa Kali ya mwaka baada ya kugundulika na hirizi wakati klabu yake ilipokua mchezoni dhidi ya prisons ya mbeya.
Tafrani ilizuka baada ya walinzi wa klabu ya prisons kumshuku kuwa Ana hirizi na kweli baada ya kuvuta jezi yake ikaoneka ambapo hata wachezaji wa simba walishindwa kumtetea na kumwacha mwamuzi aamue ndipo N'daw aliamriwa kwenda kuitoa hirizi hiyo na kurejea uwanjani.
Simba walipoteza mchezo huo kwa bao moja kwa sifuri.

0 comments:

Post a Comment