Aliyekuwa Nyota wa Timu ya Taifa ya Uholanzi na vilabu vya Ajax na Barcelona Johan Cruyff agundulika kuwa na saratani ya mapafu.
Riport kutoka Spain zinasema Gwiji huyo maarufu kwa kuanzisha soka safi yani total football anatarajiwa kufanyiwa vipimo zaidi.
Mpaka sasa uholanzi wanamchukulia Cruyff kama mchezaji bora kuwahi kutokea katika taifa hilo.


0 comments:
Post a Comment