KOCHA MPYA WA LIVERPOOL JURGEN KLOOP KWA MARA YA KWANZA ANFIELD

Kocha mpya wa Liverpool Jurgen Klopp anatajia kukiongoza kikosi chake kwenye mchezo wa Uefa Europa League.

Liverpool ambayo ilimtimua kocha Brendan Rogers wataikaribisha Rubin Kazan usiku wa Leo huku Kocha Klopp akitarajia kupata ushindi wake wa kwanza tangu ajiunge na the Kops.

0 comments:

Post a Comment