DIAMOND PLATNUMZ AMEJINYAKULIA TUZO NYINGINE YA BEST WORLDWIDE ACT AFRIKA/INDIA KUPITIA TUZO ZA MTV EMA 2015

Good News kwa Afrika nzima lakini pia hii itakuwa ni habari kubwa zaidi na nzuri nchini Tanzania, hi ni baada ya msanii wa Bongo fleva nayefanya vizuri kitaifa na kimataifa ameweza kunyakua tuzo kubwa sana ya "BEST WORLD ACT" ambayo alikuwa akichuana na mwanadada kutoka India, priyanka Chopra kwenye usiku wa jana wa tuzo za MTV EMA jijini Milan Italy October 25 2015.

dpltz




0 comments:

Post a Comment