KUTANA NA WAFUNGWA KENYA AMBAO WAMEHITIMU DIPLOMA YA THEOLOGY

Ushawahi kukutana na wafungwa ambao wamepata Diploma ya Theology? kupitia mtandao wa Habari wa Millardayo.com umeeleza kuwa Takribani wa fungwa 16 kutoka Nchini Kenya walipata nafasi ya kusoma na kuhitimu Diploma ya Theology.

Watu hao wanatumikia Kifungo Gereza la Kapsabet lililopo Wilaya ya Nandi, wameishukuru Serikali kwa kupewa nafasi ya kusoma Theology na baada ya kutunukiwa vyeti vyao Ijumaa ya October 23 2015 .

Theology ni elimu ambayo inahusisha masuala ya Dini kwa hiyo Wafungwa hao watakuwa wanatoa Huduma ya kuhubiri Magereza mbalimbali ikiwemo hilo la Kapsabet ambamo wamefungwa wenyewe.

source:Millardayo

0 comments:

Post a Comment