Kolabo ambayo ameifanya Diamond pamoja na Neyo imewatisha wa Nigeria, Alisema Diamond.
Akizungumza na Wandishi wa habari jana katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa mwalimu JK Nyerere, akitokea Texas, marekani katika tuzo za Afrimma, Diamond alisema mziki wa bongo sasa umekuwa tishio na kuwatia hofu wanamuziki wa Nigeria kutokana na uzuri wa nyimbo zetu.
"wakati nipo marekani juzi na Kcee, nikamsikilizisha nyimbo ambayo nimefanya Neyo, alikuwa na brackets pembeni, akachanganyikiwa sana akaniuliza umemlipa shiling ngapi?, nikamjibu mimi sijampa hata senti kumi"
"wenzetu wanafanya nyimbo zao na wasanii wakubwa lakini wao wanalipa, ila sisi mwenyemungu katupa bahati tunafanya nao nyimbo buree" Alisema Diamond.


0 comments:
Post a Comment