Microsoft ilizungumzia kuhusiana na laptop yao mpya ambayo inaitwa Surface Book, laptop hiyo uwezo wake wa kufanya kazi ni mala mbili ya laptop kutoka kwa apple aina ya Mac book pro, na laptop hiyo itauzwa kwa gharama ya $1499 kuanzia October 26.
Microsoft surface Book ina sifa ya kuwa na 13.5inch ya kioo chake
pixel 267 per inch na track pad zake zimetengenezwa kwa glass.
processor ni intel core i5 na i7.
pamoja na ram ya GDDR5 memory na inadumu na chaji kwa mda wa masaa 12 kwa matumizi.

Huo ndio muenekano wa Microsoft surface Book.

Windows phone mpya ambazo zitakuwa na Windows 10 ni lumia 950, lumia 950xl pamoja na lumia 550 ambayo gharama yake itakuwa ya bei ya chini ambapo watu wa hali ya chini pia waweze kumiliki simu hiyo.
0 comments:
Post a Comment