Mwanamitindo Kim Kardashian ameandika katika website yake, kwamba anachukia sana swala la kuwa na ujauzito, ni kitu mbacho hakipendi kabisa kuwa na hali hiyo. Kim ambaye mume wake ni Rapper Kanye west wenye mtoto mmoja kwa sasa huku wakitarajia mtoto mwingine ifikapo December 25.
Kim kardashian(34) alisema anashangaa watu ambao wana enjoy kuwa katika hali hiyo, ambapo mama yake na dada yake kourteney wanaonesha kufurahia swala hilo la kuwa mjamzito huku Kim K kwake linakuwa ni swala la tofauti.
"I'm gonna keep it real: For me, pregnancy is the worst experience of my life! LOL!" Kardashian, 34, "I don't enjoy one moment of it and I don't understand people who enjoy it."
Mwana mitindo huyo pia alimalizia kwa kusema
"Maybe it's the swelling, the backaches or just the complete mindf—k of how your body expands and nothing fits," she continued. "I just always feel like I'm not in my own skin."


0 comments:
Post a Comment