Android ni operating system kutoka kwa kampuni ya google ambapo ndani ya mfumo huo utakutana na programu kama Gmail, Google+, Youtube, Google Maps na nyinginezo kutoka kwa google.
Mfumo huo uendeshaji umekuwa ukitoa updates nyingi zikiwemo, Jelly bean, KitKat, Lollipop na mfumo huu wa kisasa wa Mrashmallow.
Kampuni ya Google siku zote inakuwa ttofauti na makampuni mengine kama Apple na Microsoft wanapokuwa wanatoa updates, kwani Google inapokuwa inatoa updates zake mara nyingi inawachia makampuni ya simu yanayotumia Android kutengeneza updates kwenye simu zao.
Sasa ni simu zipi ambazo zitabahatika kuona update hii ya Android Marshmallow kwenye smartphone zao?????????
GOOGLE NEXUS
Smartphone hizi za Google nexus zitapata mfumo huu mpya kupitia simu kama
Google nexus 6
Google nexus 5
Google nexus 7
Google nexus 9
Simu hizi za nexus hazitoweza pata mfumo huu mpya
Google nexus 4
Google nexus 7(2012)
Google nexus 10.
MOTOLORA
Hizi ni simu kutoka motorola ambazo zitapata mfumo huu wa Android 6
- 2015 Moto X Style
- 2015 Moto X Play
- 2015 Moto G
- 2014 Moto X Pure Edition
- 2014 Moto X in Latin America, Europe and Asia2
- 2014 Moto G and Moto G with 4G LTE
- Motorola DROID Turbo
- 2014 Moto MAXX
- 2014 Moto Turbo
- HTC
- HTC One M9 (Beginning at the end of 2015)
- HTC One M8 (Beginning at the end of 2015)
- HTC One M9+
- HTC One E9
- HTC One E9+
- HTC One ME
- HCT One E8
- HTC One M8 EYE
- HTC Butterfly 3
- HTC Desire 816
- HTC Desire 820
- HTC Desire 826
Samsung
- Galaxy Note 5
- Galaxy S6 edge+
- Galaxy S6
- Galaxy S6 edge
- Galaxy S6 Active
- Galaxy Note 4
- Galaxy Note Edge
- Galaxy S5
- Galaxy Tab S2
- Galaxy Tab S
- Galaxy Note 10.1
- Galaxy Note Pro
LG
- LG G3
- LG G4
Sony
J
- Xperia Z4 series
- Xperia Z3 series Xperia M5
- Xperia C5 Ultra
- Xperia Z2 (EU and Asia versions)
- Sony Z Ultra Google Play edition
- Xperia Z5
- Xperia Z5 Compact
- Xperia Z5 Premium
- Xperia Z4 Tablet
- Xperia Z3+
- Xperia Z3
- Xperia Z3 Compact
- Xperia Z3 Tablet Compact
- Xperia Z2
- Xperia Z2 Tablet
- Xperia M5
- Xperia C5 Ultra
- Xperia M4 Aqua
- Xperia C4
- Makampuni mengine pia yanaweza ona updates hizo
- Alcatel Idol 3
- Oneplus One
- Oneplus 2
- ASUS Zenfone 2
- ASUS Zenfone 6
- Xiaomi Mi4
- Xiaomi Mi Note
- Huawei Ascend P8
- Huawei Mate 7
- Huawei Honor 6 plus


0 comments:
Post a Comment