Beki maridadi wa kushoto kutoka kikosi cha timu ya Liverpool, Jose Gomez atakuwa nje msimu mzima baada ya kuumia goti lake alipokuwa akichezea timu ya Taifa ya England.
Mpka sasa Gomez amesha cheza michezo mitano tu ya ligi ya msimu huu toka alippjiunga na liverpool.
Gomez ambaye ameingia clabu hiyo ya Liverpool kutokea timu ya Charlton kwa mpunga wa pauni mil 3.5
Jurgen kloop jumamosi hii na kikosi chake uwanjani kwenda kupambana na Tottenham.
0 comments:
Post a Comment