DESTINY'S CHILD, KUREKODI ALBUM MPYA



Mathew Knowles amethibitisha kuwa kundi la Destiny's child linaloongozwaa na bintiye Beyonce, liko mbioni kurekodi album yao mpya.

Mipingo bado inaendelea vizuri kwa wasichana hao, huku kelly Rowland akiwa tiyari studio kuandaa album hiyo.
Mathew aliliambia jarida la heat kuwa alipata barua pepe kutoka kwa mwanadada Michelle kuwa yupo tiyari kungana pamoja na kundi hilo kwenye album hiyo mpya ambayo inaandaliwa na baba wa Beyonce.

0 comments:

Post a Comment