Diamond Platnumz ametajwa miongoni mwa wa sanii ambao watatumbuiza kwenye show ya BET Experience Africa, itakayofanywa huko SouthAfrica jijini Johannesburg.
Msanii huyo atatumbuiza na wasanii mbalimbali wa Kimataifa December 12,
Baadhi ya wasanii ambao wameolodheshwa kutumbuiza katika show hiyo ni Tamar Braxton
Maxwell na Flavour.
Source: Bongo5


0 comments:
Post a Comment