KIJIJI CHA YA MOTO BAND COMING SOON

Yamoto band, vijana wa nne wanaofanya vizuri kwenye ulimwengu huu wa muziki wa bongo.

Aslay ambaye ndio kiongozi wa Kundi hilo la Yamoto Band alisikika katika kipindi cha Friday Night Live cha EATV ijumaa iliyopita.

"Soon tutakuwa na kijiji chetu cha Yamoto band, nafikiri braza Sam utachukuliwa utaenda ambiwa hiki ndio kijiji cha Yamoto Band"

Wazo  la kujengewa nyumba kwa Yamoto lilitoka mwezi May, kutoka kwa Said fella kupitia kituo chake cha Mkubwa na wanae Youth center, ambapo nyumba zote zitakuwa sehemu moja.


0 comments:

Post a Comment