
Ikiwa imebaki siku moja…..October 23 2015 Kampeni za Uchaguzi Mkuu zimeendelea maeneo mbalimbali, Mgombea Urais kwa Tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli alikuwa Viwanja vya Jangwani jana jijini Dar es Salaam, wakati Mgombea Urais anayeungwa Mkono na Vyama vya Umoja wa UKAWA,Edward Lowassa ilikuwa anaendelea na kampeni Ifakara mkoani Morogoro jana,
Leo ndio ikiwa siku ya mwisho kwa wananchi wa Tanzania kusikiliza kampeni za mwisho kwa ajili ya kufanya maamuzi sahihi ambayo, wananchi wataenda kumchagua mgombea wao ambaye atafaa kuongoza taifa hili kwa Miaka 5,
Mgombea wa Uraisi kupitia UKAWA Edward Lowassa leo atakuwa viwanja vya jangwani akienda kumalizia Kampeni yake kwa wananchi.
0 comments:
Post a Comment