INSTAGRAM ACCOUNT YA DIAMONDPLATNUMZ IMEKUWA VERIFIED NA TIKI YA BLUE

Diamond Platinumz ameingia kwenye orodha ya wasanii Afrika ambao account zao zimekuwa verified kupitia mtandao wa kijamii wa instagram, miongoni mwa wasanii ambao account zao za instagram zimekuwa verified ni Donjazzy, Davido.



Diamond na uongozi wake tiyari wameshaelekea Millan, Italy huko katika ugawaji wa tuzo za MTV EMA 2015 zitakazotolewa siku ya Jumapili ya October 25, a,bako watanzania pia tukiwa tunaelekea kupiga kura.

Saa 6 usiku ya October 24 ndio siku ya mwisho kwa watu kupiga kura kwenye tuzo hizo za MTV EMA 2015, bado tunamda kwa wa Tanznaia kumpigia kura Diamond platnumz kuwa Best World wide act na ndiye mwa Afrika pekee kwenye category hiyo.

0 comments:

Post a Comment