Rapper Kanye west amejiunga na wasanii wengine baada ya kufungua page yake kwenye mtandao wa Soundcloud jana Oct 19.
Kanye aliweka nyimbo zake mpya ambazo ni "When i see it" ambayo ni cover ya msanii The weekend "Tell ur friends" na nyimbo nyingine aliyoweka inaitwa "Say u will".
Kupitia mtandao huo wa Soundcloud unaonyesha post za nyimbo hizo zilitolewa siku 14 zilizopita, hii inaonyesha Kanye aliachia ngoma hizo kimyakimya kwa kuweka private kwenye mtandao huo kabla hajazionesha rasmi.
Mtandao wa Soundcloud ulianzishwa 2007 kwa lengo la wasanii kuweka miziki yao.


0 comments:
Post a Comment