Mwanamuziki Joh Makini ametaja ngoma tatu ambazo kutoka kwa Weusi, ngoma hizo ambazo zimerekodiwa kwa producer anayefanya vizuri kwa sasa, Nahreel.
Ngoma hizo zinazotarajia kutoka hivi karibuni,ambazo ni 'Dont bother' ya joh mwenyewe, Baba swalehe ya Nicki wa pili pamoja na Original ya G nako, ngoma hizi aliziandika kupita kurasa yake ya instagram.


0 comments:
Post a Comment