TYGA AMEACHIA COVER ALBUM YA RAWWEST N**** ALIVE

Baada ya kuachia album ya Gold:18 dynasty mwezi June, na mixtape yake ya Fuk what they talking About mwezi Agust, Tyga anakuja na mzigo mwingine ambao unaitwa Rawwwest N****Alive.

Album hiyo inatarajiwa kutoka kabla ya mwaka huu kuisha.

0 comments:

Post a Comment