Hatimaye Watanzania sasa tunafurahia matunda kutoka kwa wasanii wetu kwa kuitangaza nchi yetu Kimataifa zaidi,hii ni baada ya Diamond platnum kunyakua tuzo tatu ambazo ni ya Baste dance video(Nana), Best male EA na Artist of the year kwenye tuzo za Afrimma(Africa music magazine awards) zilizo fanyika Dallas Marekani, alfajir ya leo.
Vanessa mdee naye pia amejinyakulia tuzo yake Best female East Africa,
Omy dimpoz naye akuwa nyuma kwenda kuchukua tuzo yake ya Best new comer.
Msanii wa Nigeria wizkid na ngoma yake ya Odjuleba imechukua tuzo ya Best video of the year,
Yemi alade best female West Africa.
0 comments:
Post a Comment