BARACK OBAMA AMPA KANYE WEST ELIMU KUHUSU KUWANIA KWAKE URAIS 2020

Raisi Barack obama ampa Kanye west Dondoo kuhusiana na kuamua kugombea Kuwa Rais 2020.

Hafla ambayo ilifanywa kwa ajili kuchangia pesa ndipo alitoa speech hiyo ambapo rapper huyo Kanye west alihuzuria kwa ajili ya kutumbuiza.

Ujumbe ambao Barack Obama alimwambia Kanye ni;

“First of all, you’ve got to spend a lot of time dealing with some strange characters who behave like they’re on a reality TV show,”

Second, this is the second most important tip: Saying that you have a beautiful, dark, twisted fantasy…that’s what’s known as off-message in politics,” 

do you really think that this country is going to elect a black guy from the south side of Chicago with a funny name to be president of the United States?”

http://twitter.com/KimKardashian/status/652961655605714944/photo/1


0 comments:

Post a Comment