Mawakili wa Msanii wa muziki wa miondoko ya Pop Justin Bieber, wanataka picha za utupu za msanii huyo kuondolewa haraka katika mitandao ya kijamii.
Mwandishi wa Hollywood amedai kwamba ameona barua iliotumwa kwa mtandao wa New York News,ambao ulichapisha picha za nyota huyo wa muziki akiwa katika likizo huko Polynesia Ufaransa.
Picha amabzo zilipigwa baada ya Bieber alipokuwa katika ziara yake huko Bora Bora.
Mwakaili hao wanahitaji picha hizo ziondolewe ndani ya masaa 12 baada ya kupata agizo hilo.
Barua hiyo imeshasibitisha kuwa picha zilizo pigwa zilikuwa ni za msanii huyo jusrin bieber.
0 comments:
Post a Comment