Mwanamuziki kutoka Tanzania, Shaa amevunja rekodi iliyowekwa na Diamond kwenye nyimbo yake ya Number one remix kwa kupata watazamaji Mil10
Sasa ni zamu ya "Sugua Gaga" kutoka kwa shaa amepata watazamaji wa video hiyo Mil20.
Rekodi ya P square bado haijafutwa kwa wasanii wa Afrika, ni baada ya wasanii hao kufikisha watazamaji zaidi ya Mil53.
0 comments:
Post a Comment