COMMON KUIGIZA KWENYE JOHN WICK 2

Rapper kutoka Chicago, Common ataigiza kwenye filamu mpya ya John Wick 2 pamoja na staring wa filamu hiyo Keanu Reeves.

Director wa Filamu hiyo ni Chad Stahelski ambaye pia ameigiza kwenye John wick ya kwanza na inaanza kurekodiwa wiki hii.

0 comments:

Post a Comment