SNOOP DOGG, BIRDMAN, DUPLI KUJA NA REALITY SHOW YAO

Kituo cha luninga BEAT kuja na reality show mpya ambayo itashirikisha wasanii wakali wa miondoko ya Hiphop ambayo inatarajiwa kuanza  rasmi mwezi ujao.

Mtandao wa HipHopNMore umetoa ripoti hiyo Kuhusu reality show hiyo ambayo itakuwa na wasanii kama Snoop Dogg, Jarmaine Dupli, Birdman na Dame dash.

Marapper hao ambao wataonesha maisha yao ya mziki, Mbali na Mziki pamoja na Maisha yao ya kibiashara.

Kipindi hicho kitakuwa kikioneshwa jiji la Los Angels.

0 comments:

Post a Comment