HUU UTANI WA ROMA KWA MADEE NI SHDAH SASA

Image result for ROMA zimbabwe
Utani wa Roma na Madee bhana huwa unafurahisha sana, hauna utofauti na ule wa 50 Cent na Diddy, Roma kupitia akaunti yake ya Instagram amemaua kumtoleo povu Madee kuhusu picha yake.

Kama ni mfuatiliaji mzuri wa Posti za Madee utakutana na maphotoshoot flani hivi ya kinyamwezi, Sasa huku huku kwenye komenti akadondoka mzee wa Zimbabwe kwenye posti ya made na kuandika kwamba
“HIKO KIATU KUMBE AAHH NILIJUA P.O.P, FASHION ZINGINE BHANA KUNA WATU HATA HAZIWAPENDEZI”



Kwa namna hiyo inamaanisha Dogo Janja inabidi aildie ile ngoma yake “UKIVAAJE UNAPENDEZA”, au?

0 comments:

Post a Comment