N'GOLO KANTE ATWAA TUZO YA PFA MWEZI MARCH

Kante (C) helped Chelsea to back-to-back wins in the Premier League in March
Kiungo wa Chelsea "The Blues"   N'golo Kante  ameibuka kuwa mchezaji bora wa mwezi march za PFA.

Tuzo hizo zenye jumla ya kura 32,000 ambazo zilikuwa zinaendeshwa kwenye mtandao wa Skysports pamoja na Application yao, Mchezaji nguli kutoka klabu ya Chelsea N'golo Kante amefanikiwa kuwapiku wenzake kwa kuwa na jumla ya kura 11,763 na kuibuka mchezaji bora wa mwezi March.
N'Golo Kante has won the PFA Fans' Premier League Player of the Month award for March.

Kante amefanikiwa kuwa kidedea kutokana na uwezo wake ambao anauonyesha pindi anapokuwa uwanjani, mchezaji mwingine anayemfuata Kante kwa kuwa na pointi nyingi ni Lukaku ambaye amefanikiwa kuwa na kura 10,777 huku Dele Alli akishika nafasi ya tatu akiwa na jumla ya pointi 4,069, wengine ambao wamefanikiwa kuingia kwenye top six ni kama Josh King (3,114), Jamie Vardy (1,290) Wilfried Zaha (1,251)

0 comments:

Post a Comment