Chelsea imeshakamilisha dili lake kwa kuingia mkataba mpya na kampuni ya Nike.
Klabu ya Chelsea imeingia kwenye mkataba mzito na kampuni ya Nike baada ya kampuni hiyo kumwaga mitonyo ya £60 milioni kwa miaka 15 kwa kuweka nembo yake katika jezi za klabu hiyo.
0 comments:
Post a Comment