Mmiliki wa Facebook Mark Zuckerberg ameripotiwa na Kundi la Hackers ambao wameweza kugundua password za mitandao yake ya kijamii ambayo ni Twitter pamoja na Pinterest.
Kundi hilo ambalo linajiita OURMINE liliweza kupost ujumbe kupitia mtandao wa Twitter wa Zuckerberg kwamba wameweza ku Hack hiyo ya Twitter.
Moja ya sababu zilizowafanya Hackers hao kuweza kugundua password za Mark zuckerberg ni kwamba hutumia password za aina moja kwenye mitandao yake ya kijamii.
CEO huyo wa Facebook hutumia password ya dadada ambayo wameweza kuiona kwenye mtandao wa Linkeldin, Hii si mara ya kwanza Mmiliki huyo kuripotiwa kwa account zake Kuhackiwa.
0 comments:
Post a Comment