WANAWAKE HAKI SAWA HADI KWENYE EMOJI

female emoji new york times

Wengi tunatumia emoji kwenye maisha yetu kila siku mtandaoni, lakini ulishawahi kufikiria kwanini wanawake nao wangepata emoji zikionyesha jitihada kwenye kazi zao?

Hivi karibuni kampuni ya Google imepanga kuja na emoji mpya ambazo zitaonyessha haki sawa kwa mwanamke na mwanaume.

Emoji zimekuwa zikimwonesha mwanamke kama Malkia,Mke na vingine vingi lakini hakuna emoji zinazomwonesha mwanamke katika ajira zao za kila siku.

female emoji

women emoji

Tutegemee kuona emoji mpya zikimwonesha mwanamke mchapakazi.

0 comments:

Post a Comment